Monday, October 19, 2015

Wayne Rooney afanya kweli nje ya uwanja apiga tatu kwa Coleen

Katika siku za karibu Rooney ameonekana kutokufanya vizuri uwanjani ila nje ya uwanja anafanya kweli.Coleen ni mjamzito wa mtoto wao wa tatu ambaye inasemakana atakuwa ni msichana.Big upRooney jaza dunia.

Tokeo la picha la coleen at barbados images pregnant

0 comments:

Post a Comment