Kada wa CCM kwa zaidi ya miaka 61 Mzee wetu Kingune Ngomali Mwiru ameamua kuachia ngazi na kujiweka pembeni na siasa za Tanzania.Huku akisema amechoshwa na chama ambacho kimeshindwa kufuata katiba yake hivyo no bora akae pembeni na kuaahidi kuwa hana sababu ya kujiunga na chama chochote.Na amesisitiza kuwa huu ni wakati wamabadiliko akiiamini puumzi mpya inahitajika katika kuongoza taifa letu akitoa mfano kuwa kwa miaka kumi toka 2005-2015 uchumi wa Tanzania umeshindwa kukua.Hiyo inatosha kabisa kuacha nafasi kwa chama chake cha zamani ili kiweze kujipanga hivyo kama kitashindwa.Tunamtakiwa mzee wetu maisha mapya nje ya siasa kwaheri Mzee Kingunge.
JAB kusimamia pia Mfuko wa Mafunzo kwa Waandishi-Wakili Kipangula
-
Na Mwandishi wetu, JAB.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari, Wakili
Patrick Kipangula amesema mbali na kutekeleza majukumu...
7 hours ago
0 comments:
Post a Comment