Friday, October 23, 2015

JE WAJUA REAL MADRID NDIO INAYOONGOZA KWA KUPAKI BASI

Timu ya Real Madrid ni timu iliyofungwa mabao mawili tu(2) katika mechi 11 iliyocheza mpaka sasa.Na ndio yenye ukuta bora kwa sasa ni idadi ndogo kabisa ya magoli kufungwa ndani ya mechi 11.Tumeshuhudia timu kubwa kabisa barani Ulaya zikifungwa idadi ya magoli zaidi ya matatu ndani ya mechi mengi hii ni pongezi kubwa kwa kocha Raffa Benitez na jopo lake la benchi la ufundi.

Tokeo la picha la current images of real madrid with rafa benitez



Tokeo la picha la current images of real madrid with rafa benitez
Rafa Benitez-Kocha mkuu

Tokeo la picha la real madrid defenders images

Baba wa nyumba Sergio Ramos nyuma yake Pepe 

0 comments:

Post a Comment