Friday, October 23, 2015

LOWASSA AUNGURUMA IFAKARA NA MAGUFULI JANGWANI MCHANA HUU

Wagombea wanaochuana vikali  katika kuwania  Uraisi wamekuwa katika heka heka za kutafuta kura za mwisho kabla ya uchaguzi siku ya jumapili.Kama ilivyo taarifiwa na Tume  ya Taifa ya  Uchaguzi kesho ndio mwisho wa kampeni zote cha uchaguzi katika ngazi mbali mbali za uongozi kuanzia Uraisi,Ubunge na Udiwani.

Tokeo la picha la images of lowassa na magufuli katika kampeni

Tokeo la picha la images of lowassa na magufuli katika kampeni

0 comments:

Post a Comment