Monday, October 26, 2015

VIGOGO WATANO OUT UBUNGE TANZANIA BARA

Mambo yameenda ndivyo sivyo kwa baadhi ya vigogo waliopewa ridhaa na chama cha mapinduzi kutetea viti vyao vya Ubunge.Kwa matokeo ya jana vigogo watano wamekwenda na maji,kwa majina.

1.Steven Wassira-Bunda

Tokeo la picha la images of wassira

2.Mh Nundu-Tanga Mjini


Tokeo la picha la omari nundu

3.Anne Kirango-Same

Tokeo la picha la images of anna kirango


4.Mh Enginia C Chiza-Buyungu

Tokeo la picha la chiza engineer

5.Mh Steven Kebwe-Serengeti

Tokeo la picha la kebwe steven kebwe

0 comments:

Post a Comment