Kayumba Juma mtoto wa Manzese ndio mshindi wa Bongo Star Search season 8,hii ndio michakato tunayotaka kusisitiza maisha ni kupigana Kayumba angeona aibu na kujichukulia poa kwa sababu ya historia yake leo tusingekuwa tunampa HEADLINES,lakini kipaji kimemfikisha katika maisha mengine na anaweza kufanikiwa zaidi kama akiwa makini na kujituma ni kijana mdogo wa miaka 19 tuu.Ni wakati wa kupigania ndoto zetu na tutafanikiwa Ben Paul ameimba you can be anyone.Big up Kayumba pigana zaidi dogo,vijana wenye nia wataiga kwako.
Job Ndugai afariki Dunia Leo Agosti 6, 2025
-
*Na Mwandishi Wetu, Dodoma.*
*Aliyekuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa
Kongwa, Job Yustino Ndugai, amefariki dunia leo Ag...
13 hours ago
0 comments:
Post a Comment