Mgombea urahisi kupitia umoja wa vyama vya upinzani (ukawa) Edward Lowassa akihutubia mkutano katika viwanja Kwasakwasa wilayani Same ametoa ahadi ya kufuta madeni yote ya wanafunzi kupitia Bodi ya mikopo na kuaahidi kutoa elimu bure kuanzia shule za msingi mapaka chuo kikuuu.Ni habari njema kwani kwa tathimini ndogo mtu ukishindwa kulipa mkopo wake ndani ya miaka mitatu au mitano labda kwa kushindwa kufanya hivyo baada ya kushindwa kupata kazi au mtaji wa kujiari thamani ya mkopo inaweza kuwa mara mbili zaidi kwa sababu ya asilimia inayojikusasha kila mwaka.
RAIS DKT. SAMIA AZINDUA DIRA YA TAIFA YA MAENDELEO 2050
-
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan
akizindua Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 katika ukumbi wa Mikutano wa
Jakaya Kikwe...
1 hour ago
0 comments:
Post a Comment