Yanga leo imelazimishwa sare na Azam katika mchezo uliokosa ufundi kwa timu zote.Yanga ilipata bado lake kupitia kwa Donald Ngoma katika kipindi cha kwanza huku Kipre Tchetche aliyeingia alisawazisha katika kipindi cha pili
Huko Mbeya Simba iliitambia Mbeya city baada ya kuiifunga bao moja kupitia kwa Juuko Murshid.Kwa matokeo hayo Yanga inaendelea kuongoza huku Azam ikifuatia na Simba ni ya tatu.
SERIKALI YATENGA BILIONI 25 KUTEKELEZA MRADI WA SLR
-
Na Mwandishi Wetu,
MBEYA,
16 Machi, 2025
KATIBU Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Mhandisi Cyprian Luhemeja amesema
kiasi cha Shilingi Bilioni 25 zimetengwa ...
1 hour ago
0 comments:
Post a Comment