Wednesday, October 21, 2015

SIKU 3 KABLA YA UCHAGUZI LOWASSA AKIMBIZA TANGA NA MAGUFULI AWEKA KAMBI DAR

Zikiwa zimebakia siku TATU tuu kabla ya uchaguzi mkuu kufanyika wagombea wa uraisi kupitia Ukawa na CCM wako kimkakati zaidi kwa siku hizi za mwisho wote wakifanya mikutano kwenye mikoa yenye kura nyingi leo Lowassa alikuwa Tanga na Magufuli ameamua kuweka kambi katika jiji la Dar ili kuweza kuwashashi wananchi wampe kura za ndio.Ni dakika za lala salama kabla ya watanzania hawaja tumia vikatio vyao.




Tokeo la picha la picha za magufuli katika kampeni dar leo

0 comments:

Post a Comment