Monday, October 19, 2015

MSIKILIZE YAYA TOURE, KWELI KUPATA KILA KITU SIO SABABU YA KUWA NA FURAHA

Wengi wanaamini wanasoka wakiaafrica wanaocheza soka ulaya wako na furaha kwani hawana shida wanaishi pazuri,wanalipwa vizuri,wanamiliki magari ya kifari.Haya yote bado si kitu kwa Yaya licha ya kushinda vikombe vingi katika ngazi ya klabu huku akiweka kibindoni  220,000 paundi kwa wiki bado anasema hayuko na furaha kwani Waafrica hawasaminiwi hasa pale wanapofanya vizuri na badala yake hushambuliwa zaidi na hasa na vyombo vya habari pale mambo yanapokwenda kombo.Lawama hizo zimemfanya YaYa kukosa raha hata kama anakila kitu kwani hawapati heshima inayo staili kama wazungu wanayopata.

Yaya Touré - Manchester City midfielder Yaya Touré warns black players may boycott World Cup in stand against racism

0 comments:

Post a Comment