Maisha ni kutafuta bila kuchoka vijana wenzangu ingawa ajira zimekuwa ngumu ila naamini kila mtu ana nafasi yake na atafanikiwa kwa muda wake kwa wale hofu ya Mungu wanaamini hivyo pia kuomba bila kuchoka kwani yeye aliyejuu anajibu kwa wakati wake.Ingawa sisi tunachoka ni hali ya kawaida ukiwa unatafuta ila msingi ni kujua HAKUNA MAENDELEO KAMA HAMNA MAPAMBANO. Tembelea website yao kwa maelezo zaidi http://www.ajira.go.tz/index.php?option=com_docman&task=doc_details&Itemid=0&gid=386
SERIKALI YATENGA BILIONI 25 KUTEKELEZA MRADI WA SLR
-
Na Mwandishi Wetu,
MBEYA,
16 Machi, 2025
KATIBU Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Mhandisi Cyprian Luhemeja amesema
kiasi cha Shilingi Bilioni 25 zimetengwa ...
1 hour ago
0 comments:
Post a Comment