Saturday, October 31, 2015

YANGA YAREJEA KILELENI,HUKU SIMBA IKITOA DOZI TAKATIFU KWA MAJIMAJI

Yanga imefanikiwa kurudi kileleni baada ya kuifunga Kagera Sugar 2-0,Donald Ngoma dakika 23 na Desu Kaseke  dakika 62 wakifunga kila mmoja. Ngoma akishangilia na kocha wake Deus Kaseke leo amefunga goli lake la kwanza katika ligi. Simba leo imewapa raha mashabiki wao baada ya kuifunguka Maji Maji idadi kubwa ya magoli 6-1.Alikuwa Ajib alifunga hat-tick dakika ya 8,11 na 42,Hamisi Kiiza alifunga dakika 37 na 80 na Tshabalala dakika 79.Huku...

MATAMKO YA MAALIM SEIFU YAKEMEWA ZANZIBAR

Baada ya zoezi la uchaguzi kusitishwa na Tume ya uchaguzi ya Zanznibar.Kwa kipindi sasa kumekuwa na matamko mbali mbali kuelezea sintofahamu hiyo.Balozi za Marekani na Uingereza wakielezea mtizamo wao kuhusu suala la uchaguzi na kutoa matamko kuwa zoezi hilo halina budi kuendelea kwani si haki kwa wananchi wa Zanzibar kwani wanahitaji kupewa haki yao Kwa upande mwingine baadhi ya viongozi wa Tume wametoa kauli zao kwa kusema kuwa uwamuzi huo...

CHELSEA YAFA 3-1 DARAJANI,ASERNAL YAIFUNGA 3-0 SWANSEA HUKU MAN CITY IKING'AA NA MANU UNITED YABWANA,MATOKEO HAPA

Mechi ya Chelsea na Liverpool imeisha huku jinamizi likiendelea kuwaumiza Chelsea baada ya kufa 3-1 kwa Liverpool mechi ikiwa Daraji.Magoli yakifungwa na Benteke 1 na Coutihno 2 huku la Chelsea likipatikana dakika 4 kupitia kwa Ramirez. Coutinho akifunga goli Asernal wameza kuwafunga Swansea 3-0 wakiwa ugenini huku Giroud,Campbell na Koscienly  wakifunga kila mmoja. Giroud akifunga goli Man United walishindwa kutamba baada ya...

LEADERS HAPATOSHI LEO USIKU WIZKID ANAHAMU YA KUONA MASHABIKI WAKE WA TANZANIA

Wizkid amewasili jana usiku na kutoa ahadi ya kufanya kweli katika onyesho lake la Leaders chini ya udhamini KING SOLOMONI HALL akiojiwa na Sammisago wa EATV alisema mengi kwamba yeye ni mtu mchechi pia,yuko makini katika kuchagua makini ila siku zote anamshukuru Mungu kwa alipofikiwa kwani anajua historia yake. Kwa wapenzi wa mziki leo sio siku ya kukosa mtu maana jamaa atafanya kweli akipigwa tafu na Daimond,Christian Bella,Fid Q na wengine...

Friday, October 30, 2015

MAGUFULI NA SAMIA WAKABIDHIWA VYETI NA KUAHIDI KUWATUMIKIA WANANCHI KWA DHATI

Raisi Mteule baada ya kupokea cheti kutoka kwa Jaji Lubuva Raisi Mteule amekabidhiwa cheti chake cha kudhibitisha kuwa mshindi baada ya uchaguzi mkuu uliofanyika 25-10-2015.Raisi huyo mteule amesema atawatumikia wananchi kwani anadeni kubwa na anaona ugumu wa kazi iliyopo mbele yake. Ameendelea na kuwapa angalizo watendaji wabovu hatawavumilia hata kidogo hivyo watimize majukumu yao kikamilifu la sivyo atafukuzwa tu.Na yeye atakuwa ni Raisi...

WIZKID KUTUA BONGO LEO,JE AMETOKEA WAPI?

Ayodeji Ibrahim Balogun ambaye anajulikana kama Wizkid ni mwanamuziki,mtunzi kutoka Nigeria ambaye amezaliwa 16-July-1990,Surulere,Lagos State..Wizkid ameenza muziki akiwa kijana wa umri miaka 11.Alitoa Album yake ya kwanza mwaka 2001 akishirikiana na Glorious Five iliyoitwa LIL PRINZ.Mwaka 2009 alisaini  mkataba BANK W'S IMPRINT EMPIRE MATES ENTERTAINMENT.2010-11 ndio mwaka ulimtambulisha Wizkid na wimbo wake HOLLA AT YOUR BOY...

Thursday, October 29, 2015

DUNIA YAISHUKIA ZEC ZANZIBAR,TANZANIA BARA FUKUTO ILA WASUBIRI SAUTI YA MAGUFULI KAMA RAISI MTEULE KWA MARA YA KWANZA

Marekani na Uingereza zimeeleza masikitiko yao juu ya utaratibu uliofanywa na ZEC kusitisha  mchakato mzima wa uchaguzi Zanzibar.Huku wakitoa matamko ya uchaguzi huo uendelee na hamna sababu ya kuwanyima haki Wanzibari.Mpaka sasa hakuna tamko lolote kutoka serikalini kuhusu mchakato na vuguvugu linaloendelea.Tanzania bara Rais mteule wa awamu ya tano Mh John Magufuli bado hajapata muda wa kuzungumza na wananchi hiyo ndio shauku inayo subiliwa...

UWIZI WA KURA HAITI WASABABISHA MAAANDAMO

Wanachi wa Haiti wanaosuburi matokeo baada ya kupiga kura kuchagua viongozi wao wa,Waandamanaji hao walijitokeza mabarabarani baada ya mgombea wanaomuunga mkono Moise Jean-Charles, kudai kuwa kura zake zimeteketezwa moto ama kufichwa.Wanaiishtumu tume ya uchaguzi nchini humo kwa kukiuka kanuni na utendaji wa uchaguzi huru na wa haki.Waangalizi wa umoja wa matafa wamesifu utendaji kazi wa tume hiyo ya uchaguzi wakisema kuwa kwa kiasi kikubwa...

AZAM RAMSI KILELENI YAIPIGA 4-2 JKT RUVU

Azam FC imekaa kileleni mwa Ligi Kuu Bara baada ya kuichapa Ruvu JKT kwa mabao 4-2 kwenye Uwanja wa Karume jijini Dar es Salaam, leo. Kwa ushindi huo, Azam FC imefikisha 22 na kukwea kileleni siku ambayo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa awamu ya tano, John Pombe Magufuli kupitia CCM ametangazwa rasmi. Mabao ya Azam FC yamefungwa na John Bocco aliyefunga mawili, Didier Kavumbagu Na Kipre Tchetche wakati mawili ya JKT...

MAALIM SEIF AMTAKA RAISI KIKWETE KUBEBA DHAMANA ILI KUSIMAMIA SHERIA NA KATIBA YA NCHI

Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akizungumza na waandishi wa habari katika ofisi za Chama hicho Mtendeni Zanzibar. Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa CUF Zanzibar Nassor Ahmed Mazrui. Picha: OMKR Zanzibar: Mgombea wa Urais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad amemuomba Rais Jakaya Kikwete na Rais Ali Mohamed Shein kubeba dhamana ya uongozi katika siku hizi chache zilizobaki za uongozi wao kwa kusimamia...

MAGUFULI NDANI YA IKULU NA KIKWETE KATIKA SHANGWE

Raisi anayemaliza muda wake akiwa na Magufuli Ikulu jijini Dar es salaam katika kumpongeza baada kutangazwa kuwa Raisi wa awamu ya t...

MAGUFULI NDIE RAISI AWAMU YA TANO

RAISI WA JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA Tume ya Tanzania ya uchaguzi imemtangaza Ndugu John Magufuli kuwa raisi wa awamu ya Tano.Pongezi kwake na Chama Cha Mapinduzi Mungu amjalie awaongoze wananchi vyema.Amefanikiwa kuongoza vyama vyote kwa asilimia 58% ya kura zote za Uraisi zilizopigwa 25 na 26 kwa baadhi ya majimbo.Mungu Ibariki Tanzania tuone mabadiliko tuliyoahidiw...

Wednesday, October 28, 2015

MAREKANI YATAKA MCHAKATO UCHAGUZI ZENJ UENDELEE,SEIFU ATAKA JUMUIYA KIMATAIFA IINGILIE

Balozi ya Marekani imeomba ZEC iendeleee na mchakato wa kutangaza matokeo ili iwape Wanzanzibari haki yao kwani ni vyema kuheshimu haki yao.Tume ya uchaguzi ilichukua hatua hiyo jana huku ikitoa orodha ya changamato kupelekea kusitisha zoezi zima.Ingawa bado sintofahamu inaendelea kwani Mgombea kupitia CUF Maalim Seif amepinga.Tuombee tu mchakato uendelee na wananchi wapewe haki yao....

SIMBA YAIPIGA COASTAL DAR,YANGA YABANWA NA MWADUI,MTIBWA MBELE KWA MBELE,AZAM LEO,MATOKEO HAPA

Simba jana ilirejesha matumaini baada ya kuifunga coasta union katika uwanja wa Taifa bao 1-0 Kiiza akiwa shujaa baadaya majeruhi. Yanga ilitoka sare 2-2 na Mwadui huko Shinyanga huku ngoma akipiga zote mbili. MATOKEO YA JANA MWADUI 2 YANGA 2 SIMBA 1 COASTAL UNION 0 TOTO AFRICANA 1 MGAMBO JKT 0 MTIBWA SUGAR 1 KAGERA SUGAR 0 MBEYA CITY 1 MAJIMAJI 1 NDANDA 0 STAND UNITED...

VIGOGO WAENDELEA KUBORONGA CAPITAL ONE,KLOP AONJA USHINDI NA LIVERPOOL,MAN CITY YAUA.

Timu vigogo nchini Uingereza bado wameendelea kuboronga kwenye LEAGUE ONE jana Manchester ilishuhudia ikitolewa katika mikwaju ya penalti dhidi ya Middlesbroug kwa 3-1 huku Wayne Rooney,Ashley Young na Michael Carrick wakikosa penati. Rooney akirudi baada ya kukosa penati Liverpool iliyochini ya kocha mpya mjerumani Klop ilipata ushindi wa kwanza dhidi ya Bournemouth kwa kuilaza 1-0,Beki Cylne akiwa shujaa. Klop akishangilia Manchester...

HATIMAYE MATOKEO ZANZIBAR YAFUTWA

Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Salim Jecha Salim ametangaza kufutilia mbali matokeo ya uchaguzi visiwani humo akisema uchaguzi huo ulijaa kasoro nyingi. Kulingana na mwanahabari wa BBC aliyeko hilo Sammy Awami, mwenyekiti huyo ametangaza hatua hiyo kupitia runinga ya serikali visiwani ZBC. Bw Jecha amesema kuwa uchaguzi huo haukuwa wa haki na kwamba kulikuwa na ukiukaji mkubwa wa sheria za uchaguzi, kwa mujibu wa taarifa ambayo...

LOWASSA APINGA MATOKEO YANAYOTOLEWA NA TUME

Mgombea wa urais kupitia tiketi ya chama cha CHADEMA Edward Lowassa amesema kuwa hatokubali matokeo ya uchaguzi wa urais yanayoendelea kutolewa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi nchini Tanzania (NEC). Kiongozi huyo amesema kuwa ana ushahidi wa kutosha kwamba kuna udanganyifu uliofanyika. Amesema kuwa kura za chama hicho zimepunguzwa katika vituo vingi vya kupigia kura. Akihutubia wanahabari pamoja na viongozi wengine wa upinzani, amesema kwamba...